Ingia / Jisajili

Uwe Kwangu Mwamba

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 8,896 | Umetazamwa mara 18,532

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Uwe kwangu mwamba wa nguve ee Bwana x 2
Kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge x 2
Uwe kwangu mwamba wa nguvu ee Bwana

  1. Nimekukimbilia na nisiaibike, kwa haki yako Bwana uniokoe.
     
  2. Wewe ni genge langu pia na ngome yangu, kwa ajili ya jina lako uniongoze.
     
  3. Umwangaze ee Bwana nuru ya uso wako, kwa ajili ya fadhili zako uniokoe. 

Maoni - Toa Maoni

Brian musau Sep 04, 2023
Nota

ANOLD GODFREY KINDOLE Oct 15, 2019
Hongera

Michael Kakulilo Feb 05, 2018
hongera saana ndugu mtunzi kwa wimbo mzurii

Toa Maoni yako hapa