Ingia / Jisajili

Vaeni Silaha

Mtunzi: Anderson Swagi
> Mfahamu Zaidi Anderson Swagi
> Tazama Nyimbo nyingine za Anderson Swagi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Anderson Swagi

Umepakuliwa mara 242 | Umetazamwa mara 1,012

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Vaeni silaha zote za Mungu mpate kuzipinga hila za shetani kwamaana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka juu ya wakuu wa giza hili juu ya majeshi ya pepo wabaya ulimwengu wa roho MABETI 1.kwasababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kushindana na siku ya uovu 2.zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani ambayo kwa hiyo mtaweza kuishi nda mishale yote yenye moto ya yule muovu 3.Tena ipokeeni chapeo ya wokovu na upanga wa roho ambao nineno la Mungu 4.kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika roho mkikesha kwa jambo hilo nakudumu katika kuwaombea watakatifu wote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa