Ingia / Jisajili

Vazi la Harusi

Mtunzi: Albert Sweetbert Masokola
> Mfahamu Zaidi Albert Sweetbert Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Albert Sweetbert Masokola

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Dr. Albert Sweetbert Masokola

Umepakuliwa mara 235 | Umetazamwa mara 905

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Vazi la Harusi ni maisha ya uongofu yaliyo jaa matendo mema Vazi linawakilisha neema ya Mungu na kuzaliwa upya 1.kwa ubatizo tumepewa vazi na mwaliko katika ufalme wa mbingu 2.Neema ya Mungu tuliyopokea kwa ubatizo twapaswa kuitunza vyema 3.Ee Bwana Mungu twaomba neema yakutambua na kutumia talanta vyema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa