Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 366 | Umetazamwa mara 1,973
Download NotaVema mtumishi mwema na mwaminifu x2 Ingia katika furaha ya bwana wako x2
1. Ulikuwa mwaminifu juu ya machache, nitakuweka juu ya mengi.
2. Mlishi wake bikira mlinzi wake bwana Yesu, tupatie shime yako.
3. Ulimpenda Mariam amtunza bwana Yesu, tufundishe pendo lako.
4. Huko juu Mbinguni uliko na bwana Yesu, tupe nguvu tufike kwako