Ingia / Jisajili

Vema Mtumishi No.2

Mtunzi: M.d. Matonange
> Tazama Nyimbo nyingine za M.d. Matonange

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Maxmilian Matongo

Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 430

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Vema Mtumishi mwema, tena mtumishi mwaminifu ingia shambani uzitende kazi uzitende kazi za Bwana, Vema mtumishi mwema........ 2. Mwombeni Bwana wa mavuno mema, alete watenda kazi shambani, Ingia shambani, uzitende kazi, uzitende kazi za Bwana Vema Mtumishi Mwema............ 3. Shambani mwa Bwana mavuno mengi, bali watenda kazi wachache, Ingia shambani uzitende kazi, uzitende kazi za Bwana Vema Mtumishi mwema.............

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa