Ingia / Jisajili

Vipaji Vyetu Vya Leo

Mtunzi: Richard Hanga
> Mfahamu Zaidi Richard Hanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Richard Hanga

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Peter Mpanda

Umepakuliwa mara 52 | Umetazamwa mara 45

Download Nota
Maneno ya wimbo
VIPAJI VYETU VYA LEO. Vipaji vyetu vya leo (Bwana) tunakutolea twakuomba upokeee. ×2. Mazao ya mashambani twaomba uyapokee na fedha za mifukoni twaomba uzipokee pamoja na Sala zetu twaomba uzipokeee. MASHAIRI. 1.Mkate na divai ni tunda la mzabibu (vipokelewe Bwana mbele zako)×2. 2.Nimatoleo yetu ya wiki nzima Bwana (twakuomba Bwana uyapokee)×2. 3. Ni maombi yetu ya siku zote Ee Bwana uyapokee Bwana uyabariki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa