Mtunzi: Edward Ferdinand Lukwimbi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Edward Ferdinand Lukwimbi
Umepakuliwa mara 620 | Umetazamwa mara 2,658
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
Vipaji vyetu tunavileta kwako Ee Mungu Baba tunaomba uvipokee x2
1. Tunakuja mbele yako, na zawadi zetu mikononi, Ee Mungu Baba tunaomba uzipokee.
2. Ni mazao ya mikono yetu, twayaleta mbele yako, Ee Mungu Baba tunaomba uyapokee.
3. Twazileta nazo fedha, ulizotujalia wewe, Ee Mungu Baba tunaomba uzipokee.
4. Hata nafsi zetu Bwana, pia tunazitoa kwako, Ee Mungu Baba tunaomba uzipokee.