Mtunzi: Kong'oa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 1,888 | Umetazamwa mara 5,903
Download Nota Download MidiVIPAJI VYETU [Kong'oa]
I: Vipaji vyetu, ee Baba, twakuomba vipokee. x2
II: Vipaji vyetu vyetu, Baba, twakuomba vipokee. x2
III: Vipaji vyetu vipaji vyetu, Baba, twakuomba vipokee. x2
IV: Vipaji vyetu vya leo twaomba, Baba, twakuomba vipokee.x2
1. Kwa wema wako tulizipata riziki, nasi kwa ukarimu tunaleta kwako.
2. Mazao fedha na mifugo ipokee, ndiwe uliyeumba, upokee Baba.
3. Furaha yako kuona twakushukuru, pokea Baba kazi za mikono yetu.
4. Zikupendeze, Baba Mungu, zipokee, kama ile sadaka nzuri ya Abeli.