Ingia / Jisajili

Vipaji Vyetu Tukatoe Sadaka

Mtunzi: Sr. M. Maryslawa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 1,190 | Umetazamwa mara 3,027

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Vipaji vyetu hivi tukatoe sadaka x 2.

Kiitikio: Furaha kubwa ilioje kujongea mbele zake Bwana

               na vipaji mikononi tukatoe sadaka x 2.

  1. Mkate na divai tukatoe sadaka x 2.
  2. Mazao ya Mashamba tukatoe sadaka x 2.
  3. Na fedha zetu hizi tukatoe sadaka x 2.
  4. Kina baba kina mama tukatoe sadaka x 2.
  5. Watoto na vijana tukatoe sadaka x 2.

Maoni - Toa Maoni

erick Feb 07, 2017
safi iko vizuri

Toa Maoni yako hapa