Mtunzi: A.Family
                     
 > Mfahamu Zaidi A.Family                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za A.Family                 
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiVyote nilivyonavyo (vyote) vyatoka kwako Muumba wambingu na dunia.×2
Uipokee itakase unijaze Baraka zako zikawe shuhuda kwangu, ninakusihi Mungu wangu ikakupendeze kama yamtumishi wako Abeli