Mtunzi: Tairo Polycarp
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Polycarp Tairo
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 10
Download Nota Download MidiHiki ni chakula cha mbingu karamu ya Bwana x2
Huu ndio mkate chakula cha malaika, si waheri, twaalikwa, tukale mwili wa Bwana, chaluka cha roho zetu, tushiboshwe kwa pendo lake x2
1. Yesu kwa hiyari yake, pale msalabani, alijitoa sadaa kwa ajili yetu wadhambi, katuachia pendo lililo kuu, kwa kutujalia wokovu.
2. Ekaristia ni chakula bora, chakula cha uzima wa milele yote, tumpokee Yesu ndani yetu, nasi tukae mwake.
3. Nani aliye na pendo kuu kama Yesu, alitoa mwili wake kushibisha roho zetu, tukampokee tuwe na uzima tele, Yesu tunakuabudu.