Mtunzi: Frt. VENANCE DAWSON IDRISA MBELWA
> Mfahamu Zaidi Frt. VENANCE DAWSON IDRISA MBELWA
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na: Venance Dawson Idrisa Mbelwa
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 10
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 Mwaka C
Waandaa meza mbele yangu na kikombe changu kinafurika ×2
Shairi: Waandaa meza machoni pa watesi wangu , umenipaka mafuta kichwani pangu.