Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 511 | Umetazamwa mara 1,621
Download Nota Download MidiWimbo-;
Wachungaji Wakaenda kwa haraka wakamkuta Maria na Yosef, na yule mtoto mcanga amelala horini.×2
1.Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto.
2.Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji.
3.Lakini Mariamu akaweka maneno hayoyote akiyafikiri Moyoni mwake.