Mtunzi: AVITUS M. RESPICIUS
> Mfahamu Zaidi AVITUS M. RESPICIUS
> Tazama Nyimbo nyingine za AVITUS M. RESPICIUS
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: AVITUS RESPICIUS
Umepakuliwa mara 444 | Umetazamwa mara 1,347
Download Nota Download MidiWafuasi walimtambua walimtambua Bwana Yesu kwa kuumega mkate ×2
1.Na walipokuwa katika kisema habari hiyo, Yesu mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu.
2.Wakashituka wakaogopa sana, wakidhani yakwamba wanaona roho.