Ingia / Jisajili

WAHUBIRINI MATAIFA HABARI

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 461 | Umetazamwa mara 1,216

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WAHUBIRINI MATAIFA Kiitikio: Wahubirini mataifa, wahubirini mataifa habari za utuufu wake za utukufu wake. 1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana enyi nchi yote, mwimbieni Bwana wimbo mpya, libarikini jina la Mungu wetu. 2. Siku kwa siku tangazeni wokovu wake wahubirini mataifa habari, habari za utukufu wake, habari za maajabu yake. 3. Mpeni Bwana enyi jamaa za watu, mpeni Bwana wenu utukufu na nguvu, mpeni Bwana enyi jamaa za watu mpeni Bwana utukufu wa jina lake. 4. Mwabuduni Bwana kwautakatifu, tetemekeni mbele zake nchi yote semeni katika mataifa Bwana Ametamalaki, Atawahukumu watu kwa adili, Amina

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa