Mtunzi: Rogers Justinian Kalumna
> Tazama Nyimbo nyingine za Rogers Justinian Kalumna
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 6,168 | Umetazamwa mara 10,916
Download Nota Download MidiROGERS, KJ.
11.01.2007.
ST. CECILIA CHOIR.
DODOMA.
Wahubirini (hubirini), wahubirini,wahubirini mataifa. Hubirini habari za utukufu wake x2
1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana libarikini jina lake
2. Tangazeni wokovu siku kwa siku, na watu wote habari za maajabu yake.
3. Mpeni Bwana mpeni utukufu na nguvu, mpeni Bwana utukufu, utukufu wa jina lake.