Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho

Mtunzi: Kibassa Castor Gm
> Tazama Nyimbo nyingine za Kibassa Castor Gm

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 166 | Umetazamwa mara 1,037

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Kibassa Castor GM May 15, 2018
Tumsifu Yesu Kristu. Nilikuwa naangalia wimbo "Waipeleka Roho", Wimbo wenye title hiyo na mtuzi wa wimbo huo (Kibassa Castor GM) vinatofautiana na wimbo uliokuwa uploaded ndani. Wimbo uliokuwa uploaded title yake ni " Wastahili Sifa" na mtuzi ni Adolf Shundu. Sasa sijajua hapo tatizo liko wapi. naomba wimbo uliopo hapo "Wastahili...." si mahala pake na wawezachanganya watu.

Toa Maoni yako hapa