Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 16,204 | Umetazamwa mara 26,732

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Waipeleka Roho, waipeleka Roho yako Ee Bwana, Roho yako ee Bwana (Ee Bwana)
Nawe waufanya upya, uso wa dunia aleluya x 2

  1. Njoo Roho Mtakatifu, uijaze nyoyo ya waamini, na uwashe ndani yao upendo wako.
     
  2. Ee Nafsi yangu, umhimidi Bwana, wewe Mungu wangu, na imejifanya kuwa mkuu sana.
     
  3. Ee Bwana Mungu wangu, jinsi yalivyo mengi matendo yako na dunia imejaa mali yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa