Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 958 | Umetazamwa mara 2,491
Download Nota Download MidiWAIPELEKA ROHO YAKO
waipeleka roho yako ee bwana
Nawe waufanya upya nawe waufanya upya nawe waufanya upya uso wa inchi.
1.Ee nafsi yangu umuhimidi bwana wewe bwana mungu wangu umejifanya mkuu sana ee bwana jinsi yalivyo mengi matendo yako dunia imejaa mali yako
2.Waiondoa pumzi yao wanakufa na kuyarudia mavumbi yao waipeleka roho yako wanaumbwa nawe waufanya waufanya upya uso wa inchi.
3.Utukufu wa bwana udumu milele bwana ayafurahie matendo yake matendo yake kutafakari kwangu kuwe kutamu kwake mimi nitamfurahia bwana.