Ingia / Jisajili

Wajibu wangu

Mtunzi: Anderson Swagi
> Mfahamu Zaidi Anderson Swagi
> Tazama Nyimbo nyingine za Anderson Swagi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Anderson Swagi

Umepakuliwa mara 297 | Umetazamwa mara 1,007

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Baada ya kusanyiko hili nitakwenda kueneza mafundisho ya leo ×2

Yanayotoka katika biblia takatifu somo la kwanza la pili na Injili tukawe mfano bora katika jamii zetu ×2

1.sasa tukawe mfano bora kwa wengine tukiishi yale yanayo moendeza Mungu

2.tukawe chumvi tueneze neno la Mungu katika jumuiya na familia zetu

3.tuikuze imani yetu ya kikristu tukiishi katika pendo lake takatifuMaoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa