Mtunzi: Sylvester Mzega
> Mfahamu Zaidi Sylvester Mzega
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvester Mzega
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: SYLVESTER MZEGA
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiWajivunia nini ewe mwana damu kwa mambo ya kupita nakusahau mungu hebu ndg fikilia matendo Yako, watesa ya tima na mama mjane wa chukua malizao na kuwanyasa bila huruma yeyote ee mwanadamu