Ingia / Jisajili

Wakajazwa roho Mtakatifu

Mtunzi: Denis Ndole Katyali
> Mfahamu Zaidi Denis Ndole Katyali
> Tazama Nyimbo nyingine za Denis Ndole Katyali

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pentekoste

Umepakiwa na: Denis Katyali

Umepakuliwa mara 58 | Umetazamwa mara 953

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wote wakajazwa ( na roho) Mtakatifu ( toka juu) wakaanza kusema lugha mbalimbali,kadiri roho alivyowawezesha.x2.

MASHAIRI.

1.a) Siku ile mitume walikuwa ndani wamejifungia,kwa hofu kwa hofu kubwa  ya wayahudi.

   b)Ikasikika sauti kama ya upepo upepo mkali,ikajaza ile nyumba waliomo kuwa.

NB.Waweza ongeza mashairi mengine kwa tuni hiyohiyo.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa