Ingia / Jisajili

Wakati Umefika

Mtunzi: Antony Jonas Homange

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 584 | Umetazamwa mara 1,986

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Wakati umefika,wakati umefika kumpokea mwokozi. x2 watu wote tusimame na twende,tukampokee mwokozi,yeye ndiye chakula cha uzima twende mbele za Bwana kama tunastahili twende mbele zake,kama hatustahili twaila  hukumu.

  1. Hiki ni chakula kutoka mbinguni,Bwana Yesu atuita tuka mpokee.
  2. Ndani ya ekaristi Yesu yupo mzima,Twendeni kwake Yesu tukampokee,

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa