Ingia / Jisajili

Wakati Wa Kutoa

Mtunzi: E. F. Mlyuka. Jissu
> Tazama Nyimbo nyingine za E. F. Mlyuka. Jissu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,789 | Umetazamwa mara 12,677

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ni wakati wa kumtolea Mungu wetu sadaka, sadaka iliyo safi sadaka ya kumpendeza x 2
Haya twende, haya twende, haya twende, haya twende, haya twende tukampe Bwana x 2

  1. Mkate na divai tunakutolea hivyo vyote viwe fumbo la kukupendeza.
     
  2. Fedha zetu tunaleta mbele zako ee Bwana zibariki zitakase na zikupendeze.
     
  3. Na mazao ya mashamba tunakutolea yabariki yatakase na ya kupendeze.
     
  4. Tunaleta nafsi zetu uzipokee Bwana, zitakase zitakate na zikupendeze.

Maoni - Toa Maoni

Donatus charles Jan 31, 2018
nakuomba nipe ruhusa nirekodi wimbo wako wa Neno zuri ni asante

Apr 19, 2016
nakupongeza sana jissu.mila nionapo wimbo wako Mimi hufurahia kwani no mtamu mno.

Toa Maoni yako hapa