Ingia / Jisajili

Wamtumainio Bwana

Mtunzi: Joseph Joshua
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Joshua

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Lazaro

Umepakuliwa mara 65 | Umetazamwa mara 110

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni ambao hawatatikisika wakaao milele kama milima inavyoizunguka Yerusalemu ndivyo na Bwana anavyowazunguka watu wake tangu sasa na hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa