Ingia / Jisajili

WAPENDWA TWENDENI

Mtunzi: Frt. Arone Mmbaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Arone Mmbaga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Arone Mmbaga

Umepakuliwa mara 249 | Umetazamwa mara 1,001

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO TWENDENI KARAMUNI MWA BWANA. WAPENDWA TWENDENI TWENDENI KWA KARAMU. TWENDENI KARAMUNI MWA UZIMA WA MILELE x2 1.Mwili wa Yesu ni chakula chenye uzima, kimbilio na salama kwa walio na njaa. Ni mana ya uzima wa milele 2.Damu ya Yesu ni kinywaji chenye uzima. Tumaini na salama kwa walio na kiu.Ni chaanzo cha neema za uwingu 3.Kwenye mashaka kimbilio ni Bwana Yesu,maji kweli ya uzima yahuishayo roho.Hutia nguvu nyoyo za mashaka. 4.Twendeni ndugu tukachote baraka tele, neema za uwingu toka karamuni ambamo Bwana Yesu ameandaa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa