Ingia / Jisajili

Wapenzi Na Tupendane

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 545 | Umetazamwa mara 2,507

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wapenzi na tupendane (wapenzi) wapenzi na tupendane (na tupendane), Kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu;

//:Naye apendaye, apendaye amezaliwa na Mungu, amezaliwa na Mungu, amezaliwa na Mungu://

1. Yule anayesema anamjua Mungu, hali amchukia ndugu yake ni muongo, ni muongo, ni muongo (bali sisi)

2. Hili ndilo pendo, hili ndilo pendo: Si kwamba sisi tulimpenda Mungu, tulimpenda Mungu bali kwamba yeye alitupenda sisi, alitupenda sisi (alitupenda sisi)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa