Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 679 | Umetazamwa mara 1,900
Download Nota Download MidiWastahili kusifiwa na kutukuzwa, kusifiwa nakutukuzwa milele x2.
1.Umehimidiwa, Ee Bwana Mungu wa Baba zetu, Wastahili kusifiwa na kutukuzwa Milele.
2.Limehimidiwa, JIna lako takatifu tukufu, ...........................//...............................................
3.Umehimidiwa, katika Hekalu fahari yako, ...........................//...............................................
4.Umehimidiwa, juu ya kiti cha Ufalme wako, ...........................//...............................................
5.Umehimidiwa, katika anga la mbinguni, ...........................//...............................................