Mtunzi: P. Lukosi
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: ponziano lukosi
Umepakuliwa mara 622 | Umetazamwa mara 1,951
Download NotaKiitikio
Wastahili kusifiwa na Kutukuzwa milele, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele na kutukuzwa milelex2
Mashairi
1. Umehimidiwa e baba Mungu wa baba zetu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Limehimidiwa jina jina lako takatifu, " " " " "
2. Umehimidiwa uketiye juu ya makerubi, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Umehimidiwa utazamaye na vilindini, " " "
3. Umehimidiwa katika hekalu takatifu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Umehimidiwa katika Utatu Mtakatifu " " " "