Mtunzi: Emma
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,436 | Umetazamwa mara 5,187
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
Wastahili kusifiwa, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele milele milele milele x 2
Milele milele milele.
- Umehimidiwa Bwana Mungu wa Baba zetu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
- Limehimidiwa jina takatifu tukufu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
- Umehimidiwa juu ya kiti cha ufalme wako, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
- Umehimidiwa Bwana katika anga la mbingu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.