Mtunzi: Robert D. Ngaila
> Mfahamu Zaidi Robert D. Ngaila
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert D. Ngaila
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 769 | Umetazamwa mara 3,084
Download Nota Download MidiUmehimidiwa Bwana, Mungu wa Baba zetu x2, Wastahili sifa, wastahili sifa, wastahili sifa na kutukuzwa milele 2.
Mashairi:
1. Umehimidiwa Bwana, Mungu wa Baba zetu, wastahili sifa milele yote.
2. Usifiwe Eewe Kristu, anaye hubiriwa, katika mataifa milele yote.
3. Usifiwe Eewe Kristu unaye aminiwa katika ulimwengu milele yote.