Ingia / Jisajili

Wataniita M Barikiwa

Mtunzi: Mwalimu Paschal.M
> Mfahamu Zaidi Mwalimu Paschal.M

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: PASCHAL MDALINGWA

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 18

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 20 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama tokea sasa vizazi vyote wataniita m barikiwa 1.Kwakuwa mwenye nguvu amenitendea makuu 2. Mariamu akasema moyo wangu wamwadhimisha Bwana na roho yangu inamfurahia Mungu mwokozi wangu 3.Kwakuwa ameutazama ungonge wa mjakazi wake yokea sasa vizazi vyote wataniita m barikiwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa