Ingia / Jisajili

Watu Na Wakushukuru Ee Mungu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 140 | Umetazamwa mara 305

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WATU NA WAKUSHUKURU EE MUNG) (WATU NA WAKUSHUKURU EE MUNGU ) . WATU nawa kushukuru na WAKUSHUKURU Ee- e Ee_mu_ngu na WAKUSHUKURU wakushu kuru Ee MUNGU X2 nawa kushukuru Mungu Watu wote Ee_ Mungu nawa kushukuru WAKUSHUKURU Ee- MUNGU ;(1) WAKUSHUKURU Ee- MUNGU. (1).Mungu na atufadhili na kutu baliki.na kutuangazia uso wake.njia yake ijulikane duniani .wokovu wake katikati ya mataifa yote.(2).Mataifa washangilie naamu waimbe Kwa furaha.maana Kwa haki utawa hukumu Watu naku waongoza Mataifa walilko duniani. (3) WATU nawa kushukuru Ee MUNGU.. Watu wote nawa kushukuru Mungu. Atatu bariki sisi. Miisho yote ya dunia. Itamcha yeye .

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa