Ingia / Jisajili

Watu Nawakushukuru

Mtunzi: Deus nyahinga
> Mfahamu Zaidi Deus nyahinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Deus nyahinga

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Emmanuel Boniphace

Umepakuliwa mara 38 | Umetazamwa mara 81

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Watu nawakushukuru Ee MUNGU watu wote nawakushukuru e MUNGU 1.Mungu atufadhili na kutubariki nakutuangazia uso wake njia yake ijukikane duniani wokovu wake katikati ya mataifa yote. 2.Mataifa nawashangilie Naam waimbe kwa furaha maana kwa haki utawahukumu watu nakuwaongoza mataifa walioko duniani 3.Mungu atubariki sisi miishovyote ya Dunia itamcha yeye miishovyote ya Dunia itamcha yeye

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa