Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 732 | Umetazamwa mara 2,381
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C
Enyi watu wa Sayuni tazameni Bwana (anakuja) Kuwaokoa Mataifa.×2
1.Bwana atawasikizisha sauti ya utukufu wake.
2.Bwana asikiapo sauti ya kilio chenu, ndipo atakapo jibu.