Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 1,497
Download Nota Download MidiNami nimezitumainia fadhili zako Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.×2
1.Naam, nimwaimbie bwana mkwakua amenitendea kwa ukarimu.