Ingia / Jisajili

Waufumbua Mkono Wako

Mtunzi: David Mruma
> Mfahamu Zaidi David Mruma
> Tazama Nyimbo nyingine za David Mruma

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Mruma

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 13

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waufumbua mkono wako wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake. MASHAIRI 1.Ee Bwana kazi zako zote zitakushukuru na wacha Mungu wako watakuhimidi wataunena utukufu wa ufalme wako Na kuuhadithia uweza wako. 2.Macho ya watu yakuelekea wewe nawehuwapa chakula chao wakati wake Waufumbua mkono wako wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake. 3.Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote Bwana yu karibu na wote wamwitao Wote wamwitao kwa uaminifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa