Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali
Umepakuliwa mara 2,689 | Umetazamwa mara 5,909
Download Nota Download MidiWaufumbua mkono wako, mkono wako x2 (Bwana) wakishibisha kila kilicho hai (Bwana) matakwa yake
1. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema.
2. Bwana ndiye ndiye mwema, mwema kwa watu wote, rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
3. Macho ya watu wote, yakwelekea wewe, nawe huwapata chakula chao wakati wake.
4. Bwana ni mwenye haki, katika njia zake, na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.