Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Willy Kiwango
Umepakuliwa mara 1,660 | Umetazamwa mara 4,333
Download Nota Download MidiKiitikio: Waufumbua, waufumbua mkono wako x2. Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yakex2
Mashairi.
1.Bwana ana fadhili na ni mwingi wa rehema, si mwepesi wa hasira, na ni mwingi wa rehema
2.Bwana ni mwema Bwana ni mwema kwa watu wote, na rehema zake zi juu ya kaziz zake zote
3.Macho ya watu wote yakuelekea wewe, naye huwapa chakula wakati wake
4.Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote