Ingia / Jisajili

Waumini Tuwe Na Juhudi (With Accompaniment)

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 640 | Umetazamwa mara 798

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waumini tuwe na juhudi kulijenga kanisa letu X2

Tutoe kwa ukarimu sehemu ya mali yetu aliyotujalia Mwenyezi Mungu X2

1. Waumini tuwe tayari daima kujitolea kwa hali na mali na kwa ukarimu sote tulijenge kanisa letu

2. Waumini amkeni tuwajibike kulijenga hekalu la Mungu ndiyo nyumba ya sala na ibada takatifu

3. Kanisa litajengwa na sisi wenyewe kwahiyo waumini tufanye juhudi tutoe michango yetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa