Ingia / Jisajili

VAENI SILAHA ZA MUNGU

Mtunzi: Nesphory Charles
> Tazama Nyimbo nyingine za Nesphory Charles

Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Nesphory Charles

Umepakuliwa mara 488 | Umetazamwa mara 1,498

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Nesphory Charles Oct 09, 2023
Asante ndugu Stanslaus Butungo kwa kunitia moyo.. bwana na akatende kwangu kama ulivyosema. Amen

Stanslaus Peter Nov 16, 2022
Hongera sana Nestory. Mimi ni mpenzi ana wa nyimbo zako...leo nimefanya zoezi la kutafuta nyimbo kwa ajili ya kurekodi na nimescan through nyimbo zako zote....nimekuta kumbe una-ulemavu wa kutunganyimbo za Flat 2 (bb) na mimi ninapenda sana unapotunga nyimbo za Flat 3 (bbb) ama Sharp 4 (E). Hata hivyo nimepata wimbo ntakaorekodi toka collection yako. By the way, naomba usiache ku-upload tungo zako nyingi na ningependa utunge nyimbo za huruma ya Mungu. Tunazihitaji sana katika kipindi hiki mbacho ulimwengu umegubikwa na dhambi. Nduguyo Butungo

Toa Maoni yako hapa