Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 528 | Umetazamwa mara 2,713
Download Nota Download MidiKaramu ya Bwana sasa I tayari karibuni karibuni karibuni wenye mioyo safi tuijongee x2
1. Bwana Yesu atualika sote tukashiriki karamu ni karamu ya upatanisho wa dhambi zetu
2. Bwana Yesu ametuandalia mkate wa malaika karibuni sote tushiriki neema za mbingu
3. Bwana Yesu ametuandalia njia safi ya wokovu karibuni sote twende kwake tuokolewe