Mtunzi: N. Z. Blackman
> Tazama Nyimbo nyingine za N. Z. Blackman
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: BLACKMAN ZACHARIA
Umepakuliwa mara 1,202 | Umetazamwa mara 4,390
Download Nota1. a) Bwana Yesu anatuita kwenye karamu yake
b) Tujongee mezani kwake Bwana anatuita
KIITIKIO
Mezani kwake Bwana tukampokeex2
Karamu takatifu ni Bwana ameandaa wenye mioyo safi tukampokee
Ni chakula cha rohoni chakula cha uzima wenye mioyo safi tukampokee
2. a) Bwana Yesu anatuita tukapate faraja,
b) Bwana Yesu anatuaita tukapate uzima,
3. a) Bwana Yesu anatuita tukapate mapendo,
b) Bwana Yesu anatuita tukapate amani,
4. a) Bwana Yesu anatuita yeye ni tumaini,
b) Bwana Yesu anatuita yeye ni kimbilio,