Mtunzi: M. B. Msike
> Tazama Nyimbo nyingine za M. B. Msike
Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,574 | Umetazamwa mara 11,661
Download Nota Download MidiWewe Bwana, wewe Bwana, nguvu yangu nakupenda sana x2 Bwana ni Jabali, Bwana ni Jabali langu na ngome yangu mimi na mwokozi wangu x2.
Mashairi:
1. Mungu wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninaye mkimbilia.
2. Ngao yangu, ngao yangu, na pembe ya wokovu na ngome yangu.
3. Nita mwita Bwana wangu, astahiliye hivyo nitaokoka na adui zangu.
4. Bwana ndiye, astahilie, Atukuzwe Mungu wa wokovu wangu.