Mtunzi: Gerald Atubonike
> Mfahamu Zaidi Gerald Atubonike
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald Atubonike
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 1,518 | Umetazamwa mara 3,353
Download NotaWEWE BWANA NGUVU ZANGU
(Wewe Bwana nguvu zangu, nakupenda sana wewe, Bwana ni jabali langu, na ngome yangu na wokovu wangu)X2
1. Mungu wangu Bwana wangu, ninayekukimbilia na pembe ya wokovu wangu.
2. Nitamwita Bwana anayestahili kusifiwa, hivyo nitaokoka.
3. Atukuzwe Bwana Mungu wa wokovu wangu, ampa mfalme wake wokovu mkuu.