Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Nguvu Zangu

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 537 | Umetazamwa mara 1,528

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe Bwana, nguvu zangu, nakupenda, nakupenda sana|| x 2 1. Wewe Bwana nguvu zangu, nakupenda sana, Bwana ni jabali langu na boma langu, mwamba wangu ninayemkimbilia 2. Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu, nitamwita Bwana anayestahili kusifiwa, hivyo nitaokoka na adui zangu 3. Bwana ndiye, aliye hai, na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu ampa mfalme wake wokovu mkuu, amfanyia fadhili Masiha Masiha wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa