Mtunzi: Damian Charles Maganga
> Mfahamu Zaidi Damian Charles Maganga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 1,141 | Umetazamwa mara 2,819
Download NotaKIITIKIO: Wewe Bwana umekuwa makao yetu, kizazi, kizazi, baada ya kizazi X 2.
1. Wamrudisha mtu vumbini usemapo rudi enyi wanadamu.
2. Maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana ikipita.
3. Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako nasi tutafurahi siku zote