Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Unaweza

Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gereon Mmole

Umepakuliwa mara 734 | Umetazamwa mara 2,519

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Sosten Alex Seiya Mar 25, 2019
Hongera Kaka Mmole, wimbo mzuri lakini ikiwa Yesu alikufa msalabani ili kutukomboa, tayari alipenda na alitaka kutukomboa kwa njia hiyo. Kwa hiyo badala ya kusema "Ukipenda unaweza kuniokoa" iwe "wewe peke yako utakayeniokoa"

Toa Maoni yako hapa