Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Unifadhili

Mtunzi: Amani John Ndimubenya
> Mfahamu Zaidi Amani John Ndimubenya
> Tazama Nyimbo nyingine za Amani John Ndimubenya

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Amani Ndimubenya

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

WEWE BWANA UNIFADHILI MAANA NAKULILIA WEWE MCHANA KUTWA. MAANA WEWE BWANA U MWEMA UMEKUWA TAYARI KUSAMEHE NA MWINGI WA FADHILI KWA WATUWOTE WAKUITAO.

1. WEWE BWANA UNIFADHILI MAANA NAKULILIA WEWE MCHANA KUTWA

2. KWA MAANA WEWE BWANA U MWEMA UMEKUWA TAYARI TAYARI KUSAMEHE.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa