Ingia / Jisajili

Wewe Bwana usiniache

Mtunzi: Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Mfahamu Zaidi Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Tazama Nyimbo nyingine za Christian Benedict Nkonya (Chribenko)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 157 | Umetazamwa mara 817

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wewe Bwana usiniache, Ee Mungu wangu 'sijitenge nami ufanye haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu wa wokovu wangu x2.

1:Roho yangu haina amani, kwa sababu ya hasira yako Bwana.

2:Ninayatabu makosa yangu, naja kwako unipe huruma yako.

3:Bwana wewe ndiwe uliye hai, utukuzwe Mungu wa wakovu wangu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa